TyDiQA1.0

The Typologically Different Question Answering Dataset

Predictions

Scores

Aloysius Gonzaga

The Typologically Different Question Answering Dataset

 Aloysius Gonzaga (9 Machi 1568 – 21 Juni 1591) alikuwa mtoto wa mfalme mdogo nchini Italia, lakini alikataa katakata kuurithi utawala akawa mtawa katika shirika la Wajesuiti. Alifariki bado kijana akihudumia wagonjwa wa tauni mjini Roma, akiacha kumbukumbu bora hasa ya usafi wa moyo na malipizi.

Aloysius Gonzaga alizaliwa mwaka gani?

  • Ground Truth Answers: 156815681568

  • Prediction: